KINGA YA MUISLAMU
[سَمعَ سَامعً بحمد الله وحُسنِ بلائه علينا، ربنا صاحبنا ، وأفضِل علينا عائذا بالله من النار]
مسلم4/ 2086
[Amesikia msikilizaji kusifiwa kwa Mwenyezi Mungu, na uzuri wa neema zake juu yetu. Mola wetu kuwa nasi na tufadhilishe hali ya kuwa tunajilinda na Mwenyezi Mungu kutokana na moto.] [Imepokewa na Muslim.]
DUA YA MSAFIRI UNAPOINGIA USIKU
KINGA YA MUISLAMU
Imepokelewa kutoka kwa Jaabir amesema: "Tulikuwa tukipanda mlima tunasema:
[اللهُ أَكْـبَر]
[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]
Na tukishuka tunasema:
[سُبْـحانَ الله]
Ametakasika Mwenyezi Mungu
[imepokewa na Bukhari]
SIKILIZA DUA HII
KINGA YA MUISLAMU
[ أستودعُكَ الله الذي لا تضيع ودائعه ]
أحمد 2/403 وابن ماجه 2/943
[Nawaacha katika amana ya Mwenyezi Mungu ambaye hakupotei amana kwake.] [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Maajah.]
DUA YA ANAESAFIRI KUWAOMBEA WAKAAZI
KINGA YA MUISLAMU
[ أستودع الله دينك وأمانتك ،وخواتيم عملك ]
أحمد 2/7 الترمذي5/499
[Naweka amana kwa Mwenyezi Mungu dini yako na uaminifu wako na mwisho wa matendo yako.] [Imepokewa na Ahmad na Al-Ttirmidhiy.]
[ زوَّدك الله التقوى، وغفر ذْنبك ويسَّر لك الخير حيث ما كنت ]
الترمذي وانظر صحيح الترمذي3/ 155
[Mwenyezi Mungu akuzidishie ucha mungu, na akusamehe madhambi yako, na akufanyie wepesi katika kheri popote ulipo.] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]
DUA YA WAKAAZI WANAYOMUOMBEA ANAE SAFIRI
KINGA YA MUISLAMU
[ بسم الله ]
أبو داود 4/296 وصححه الألباني
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu] [Imepokewa na Abuu Daud,na kusahihishwa na Al-Baaniy.]
DUA YA WAKATI MNYAMA ALIEMPANDA AKILETA TABU
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.