Menu

Adhkaar (Dua)


KINGA YA MUISLAMU


DUA YA MSIKITI


 

[ أعوذ بالله العظيم ،وبوجهه الكريم ،وسلطانه القديم ،من الشيطان الرجيم ]

أبو داود وانظر صحيح الجامع برقم 4591 

[Najilinda na Mwenyezi Mungu  Aliye Mtukufu, na kwa uso wake, mtakatifu, na kwa utawala Wake wa kale, kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma za Mwenyezi Mungu.]     [Imepokewa na Abuu Daud]

 

             [  بسم الله ، والصلاة  والسلام على رسول الله ، اللهم افتح لي أبواب رحمتك ]      

 رواه أبوداود وإبن السني

[Kwa ina la Mwenyezi Mungu, na rehma Na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu  nifungulie milango ya rehma zako.]         [Imepokewa na Abuu Daud na Ibnu Sunniy]


SIKILIZA DUA YA KUINGIA MSIKITINI




KINGA YA MUISLAMU


 msikiti


 

اللهم اجعل في قلبي نوراً ، وفي لساني نوراً ، وفي سمعي نوراً ، وفي بصري نوراً ، ومن فوقي نوراً ، ومن تحتي نوراً ، وعن يميني نوراً ، وعن شمالي نوراً ، ومن أمامي نوراً ، ومن خلفي نوراً  ، و اجعل في نفسي نوراً ، وأعظم لي نوراً ، وعظم لي نوراً ، واجعل لي نوراً ، واجعلني نوراً ، اللهم أعطني نوراً ، واجعل في عصبي نوراً ، وفي لحمي نوراً ، وفي دمي نوراً ، وفي شعري نوراً ، وفي بشري نوراً

[ اللهم اجعل لي نوراً في قبري .. ونوراً في عظامي ]  [ وزدني نوراً ، وزدني نوراً ، وزدني نوراً ]  [  وهب لي نوراً على نوراً] 

أخرجه البخاري ومسلم

[Ewe Mwenyezi Mungu, weka katika moyo wangu nuru, na katika ulimi wangu nuru, na katika masikio yangu nuru, na katika macho yangu nuru, na juu yangu nuru, na chini yangu nuru, na kuliani kwangu nuru, na kushotoni kwangu nuru, na mbele yangu nuru, na nyuma yangu nuru, na weka katika nafsi yangu nuru, na nifanyie kubwa nuru, na nifanyie nyingi nuru, na uniwekee mimi nuru, na unifanyie mimi nuru, Ewe Mwenyezi Mungu nipe nuru, na uweke  katika  mishipa yangu nuru, na katika  nyama  yangu nuru, na katika damu yangu nuru, na katika nywele zangu nuru, na katika ngozi yangu nuru, (Ewe Mwenyezi Mungu  niwekee nuru katika kaburi langu, na nuru katika mifupa yangu) (Na unizidishie nuru, na unizidishie nuru, na unizidishie nuru) (na unipe nuru juu ya nuru. )]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


SIKILIZA DUA YA KWENDA MSIKITINI 




KINGA YA MUISLAMU


 maxresdefault 37


 

[ بسم الله ، توكَّلْتُ على الله ، ولا حَوْلَ ولا قُوةَ إلا بالله]

       أبو داود 4/ 325 والترمذي 5/ 490 وانظر صحيح الترمذي3/ 151

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninatoka) ninamtegemea Mwenyezi Mungu,na hapana uwezo wala nguvu ila vyote vinatokana na Mungu.]     [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Tirmidhiy].

 

 [اللهُمَ إني أعُوذُ بِكَ أن أَضِلَّ أوْ أُضَلَّ أَوْ أزِلَّ، أو أُزَلَّ، أوْ أظلِم أوْ أُظْلَم، أوْ أَجْهَلَ أوْ يُجْهَلَ عَلَيَّ]

     أهل السنن وانظر صحيح الترمذي 3/ 152 وصحيح ابن ماجه 2/ 336  

[Ewe Mwenyezi Mwenyezi Mungu najilinda kwako kutokamana na kupotea au kupoteza,au kuteleza au kumtelezesha mtu,au kudhulumu au kudhulumiwa,au kuwa mjinga au kufanywa mjinga.]   [Imepokewa na Al-Tirmidhiy na Ibnu Maajah na wengineo kwenye vitabu vya Hadithi.]


SIKILIZA DUA YA KUTOKA NYUMBANI




KINGA YA MUISLAMU


 nyumbani


 

[ بسم الله ولجنا ،وبسم الله خرجنا ، وعلى ربنا توكلنا ، ثم ليسلم على أهله ] 

أخرجه أبو داود 4/ 325

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na Mola wetu tunamtegemea" Kisha asalimie watu walio ndani]        [Imepokewa na Abuu Daud]  


SIKILIA DUA YA KUINGIA NYUMBANI


 



KINGA YA MUISLAMU


 baada ya udhu


 

أشهد أن لا إله إلا الله وحده لا شريك له ، وأشهد أن محمداً عبده ورسوله]       رواه مسلم1/ 209]

 

[Nakiri kwa moyo na kusema kwaulimi kwamba hapana Mola apasae kuabudiwa  kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu , peke yake, wala hana mshirika wake, na ninakiri kwamba Muhammad ﷺ ni mja wake na ni Mtume wake.]        [Imepokewa na Muslim.]

 

اللهم اجعلني من التوابين واجعلني من المتطهرين]     الترمذي 1/ 78 وانظر صحيح الترمذي1/ 18]

 

[Ewe Mwenyezi Mungu  nijaaliye niwe miongoni mwa wale wanaoomba  msamaha, na nijaalie miongoni  mwa wale waliosafi.]        [Imepokewa na Al-Tirmidhiy.]

 

 

سبحانك اللهم وبحمدك أشهد أن لا إله إلا أنت أستغفرك وأتوب إليك]     النسائي في عمل اليوم والليلة ص173]

 

[Utakatifu ni Wako, Ewe Mola wangu, na shukurani zote zinarudi Kwako, nakiri kwamba hapana apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Wewe, naomba msamaha wako, na narejea kwako (kwa kutubia )]       [Imepokewa na Al-Nasai.]


SIKILIZA DUA BAADA YA KUTAWADHA



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6488876
TodayToday1982
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 15

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_676f57f78a7688362935741735350263
title_676f57f78a8977396403651735350263
title_676f57f78a9bf12549820031735350263

NISHATI ZA OFISI

title_676f57f78c6076979818191735350263
title_676f57f78c77d19531236571735350263
title_676f57f78c8ed7344658531735350263 Add content here

HUDUMA MPYA

: 3 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com