Menu

 

 

DUA YA KUPANDA MNYAMA AU CHOMBO CHOCHOTE CHA KUSAFIRIA

 

 

بسم الله. الحمد لله. {سُبْحانَ الَّذِي سَخَّرَ لَنَا هَذَا وَمَا كُنَّا لَهُ مُقْرِنِينَ * وَإِنَّا إِلَى رَبِّنَا لَمُنقَلِبُونَ} الحمد لله ، الحمد لله ، الحمد لله ، الله اكبر ، الله اكبر ، الله اكبر ، سبحانك اللهم إني ظلمت نفسي فاغفر لي ، فإنه لا يغفر الذنوب إلا أنت

أبو داود 3/34 والترمذي 5/501

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu na sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, ametakasika ambaye ametudhalilishia sisi hiki (chombo au huyu mnyama) na hatukuwa sisi kwacho ni wenye uwezo,nasi kwa Mola wetu tutarejeshwa.  Sifa  njema ni za Mwenyezi Mungu , sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, sifa njema ni za Mwenyezi Mungu;  Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mwenyezi Mungu ni mkubwa; Kutakasika ni Kwako Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nimejidhulumu nafsi yangu basi nisamehe, kwani hakuna mwenye kusamehe madhambi ila Wewe]    [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirimidhiy.]


DUA YA KUPANDA MNYAMA AU CHOMBO CHOCHOTE CHA KUSAFIRIA


 

 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6669025
TodayToday162
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 24

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68677146baa7618240467591751609670
title_68677146bab5b546824511751609670
title_68677146bac39219621941751609670

NISHATI ZA OFISI

title_68677146bc1be6571689291751609670
title_68677146bc2a73449195371751609670
title_68677146bc37e15581721691751609670 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com