KINGA YA MUISLAMU
[لا إله إلا الله وحده لا شريك له ، له الملك وله الحمد ، يُحيي ويُميت ، وهو حي لا يموت ، بيده الخير وهو على كل شئ قدير]
الترمذي 5/491 والحاكم 1/538
[Hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake, hana mshirika ni wake Ufalme na ni zake sifa njema, anahuisha na anafisha, nae ni hai asiyekufa, kheri iko mikononi mwake, na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy,na Al-Haakim.]
SIKILIZA DUA YA KUINGIA SOKONI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.