DUA YA KUINGIA MJINI AU KIJIJINI
اللهم رب السموات السبع وما أظللن ، ورب الأرضين السبع وما أقللن ،ورب الشياطين وما أضللن ، ورب الرياح وما ذرين.أسألك خير هذه القرية وخير أهلها وخير ما فيها،وأعوذ بك من شرها،وشر أهلها ، وشر ما فيها
الحاكم وصححه ووافقه الذهبي 2/100 وابن السني برقم 524
[Ewe Mwenyezi Mungu Mola wa mbingu saba na kila ambacho hizo mbingu zimekipa kivuli, na Mola wa ardhi saba na kila ambacho zimebeba, na Mola wa mashetani na walichokipoteza na Mola wa upepo na ulichokibeba; Nakuomba kheri ya kijiji hichi na kheri ya watu wake na kheri ya vilivyo ndani yake, najilinda kwako na shari ya kijiji hichi na shari ya watu wake, na shari iliyomo ndani yake] [Imepokewa na Al-Hakim na akaisahihisha na Ibnu Sunniy.]
DUA YA KUINGIA MJINI AU KIJIJINI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.