KINGA YA MUISLAMU
[بسم الله]
أبو داود وابن ماجه وأحمد وانظر إرواء الغليل 1/ 122
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu]. [Imepokewa na Abuu Daud na Ibnu Maajah]
SIKILIZA DUA YA KABLA KUTAWADHA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.