KINGA YA MUISLAMU
[بِسْمِ الله]
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninavua)]
Amesema Mtume :
[سِتْرُ ما بَيْنَ أعْيُن الجِنِّ وَعَوْرَاتِ بَني آدَمَ إذا وَضَعَ أحدُهُمْ ثَوْبَهُ أنْ يقول: " بِسم الله ]
الترمذي 2/505 وغيره وانظر الإرواء برقم 49 صحيح الجامع3/ 203
[Sitara kati ya macho ya Majini na tupu ya Binadamu ni anapo vua nguo mmoja wao aseme: [Kwa jina la Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na Al-Tirmidhiy]
DUA YA KUVUA NGUO
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.