ANACHOSEMA MUISLAMU AKISIFIWA
[ اللهم لا تؤاخذني بما يقولون ، واغفر لي مالا يعلمون [واجعلني خيراً مما يظنون ]
البخاري في الأدب المفرد برقم 761
[Ewe Mwenyezi Mungu usinichukulie kwa yale wanayoyasema na unisamehe kwa yale wasiyoyajua, (na unifanye bora kuliko wanavyonifikiria] [Imepokewa na Bukhari katika Al-Adabul-Mufrid]
ANACHOSEMA MUISLAMU AKISIFIWA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.