ANACHOSEMA MUISLAMU AKIMSIFU MUISLAMU MWENZIWE
قال صلى الله عليه وسلم : " إذا كان أحدكم مادحاً صاحبه لا محالة فليقل : أحسبُ فلاناً والله حسيبهُ ولا أزكي على الله أحداً ، أحسبهُ – إن كان يعلم ذاك – كذا وكذا
رواه مسلم 4/2296
Amesema Mtume ﷺ: [Iwapo hakuna budi kwa mtu kumsifu mwenzake basi aseme: ‘Namdhania fulani kwa kadha na kadha …… na Mwenyezi Mungu ndiye atakaye muhisabu wala simtakasi kwa Mwenyezi Mungu yoyote.] [Imepokewa na Muslim.]
ANACHOSEMA MUISLAMU AKIMSIFU MUISLAMU MWENZIWE
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.