VIPI ATALETA TALBIYAH ALIYEHIRIMIA KWA HIJJAH NA UMRA
[ لبيك اللهم لبيك ، لبيك لا شريك لك لبيك ، إن الحمد والنعمة لك والملك ، لا شريك لك ]
البخاري مع الفتح 3/ 408 ، ومسلم 2/841
[Nimekuitika Ee Allaah nimekuitika, nimekuitika huna mshirika wako nimekuitika, hakika sifa njema na neema na Ufalme ni vyako huna mshrika wako.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
VIPI ATALETA TALBIYAH ALIYEHIRIMIA KWA HIJJAH NA UMRA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.