KINGA YA MUSLAMU
Wanapo wasalimia Makafiri wajibuni:
[وعليكم]
[Na juu yenu]
[Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.