KINGA YA MUISLAMU
[إذا سمعتم صياح الديكة ، فاسألوا الله من فضله فإنها رأت ملكاً وإذا سمعتم نهيق الحمار ، فتعوذوا بالله من الشيطان فإنه رأى شيطاناً]
البخاري مع الفتح6/350 ،ومسلم 4/2092
Amesema Mtume ﷺ [Mkisikia mlio wa jogoo muombeni Mwenyezi Mungu fadhila zake kwani huwa amemuona Malaika, na mkisikia mlio wa punda basi takeni hifadhi kwa Mwenyezi Mungu, kwani huwa amemuona shetani.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.