KINGA YA MUISLAMU
[ بارك الله لك في أهلك ومالك إنما جزاء السلف الحمد والأداء ]
أخرجه النسائي في عمل اليوم والليلة ص 300 وابن ماجه 2/ 809
[Mwenyezi Mungu akubariki katika familia yako na mali yako, hakika malipo ya deni ni kushukuru na kulipa] [Imepokea na Al-Nnasaai na Ibnu Maajah.]
DUA UNAPOLIPA DENI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.