KINGA YA MUISLAMU
[ اللهم إني أعوذ بك أن أشرك بك وأنا أعلم ، وأستغفرك لما لا أعلم ]
أحمد 4/403 وغيره
[Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na kukushirikisha hali ya kuwa najua na ninakutaka msamaha na nisilolijua.] [Imepokewa na Ahmad na wengineo.]
DUA YA KUOGOPA KUINGIA KATIKA USHIRIKINA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.