KINGA YA MUISLAMU
[ بارك الله لك في أهلك ومالك ]
البخاري الفتح4/ 88
[Mwenyezi Mungu akubariki katika familia yako na mali yako.] [Imepokewa na Bukhari.]
SIKILIZA DUA HII HAPA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.