DUA YA KUMUOMBEA ANAEKWAMBIA ANAKUPENDA KWA AJILI YA MWENYEZI MUNGU
[ أحبك الذي أحببتني له ]
أخرجه أبو داود 4/333
[Akupende ambae umenipenda mimi kwa ajili yake.] [Imepokewa na Abuu Daud.]
DUA YA KUMUOMBEA ANAEKWAMBIA ANAKUPENDA KWA AJILI YA MWENYEZI MUNGU
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.