KINGA YA MUISLAMU
[اللهم بارك لنا في ثمرنا ، وبارك لنا في مدينتنا وبارك لنا في صاعنا ، وبارك لنا في مدنا]
مسلم 2/1000
[Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie matunda yetu, na tubarikie mji wetu, na tubarikie pishi (Swaa) yetu na tubarikie kibaba (Mudd) chetu.] [Imepokewa na Muslim.]
SIKILIZA DUA HII HAPA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.