DUA YA KUPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)
Akichemua mmoja wenu aseme:
[ الحمد لله ]
[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu.]
Mwenzake amwambie:
[ يرحمك الله ]
[Mwenyezi Mungu akurehemu.]
Kisha naye amjibu:
[ يهديكم الله ويصلح بالكم ]
[Akuongoze Mwenyezi Mungu na akutengenezee mambo yako.] [Imepokewa na Bukhari.]
DUA YA KUPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.