ANACHOSEMA ALIYETUKANWA HALI YA KUWA AMEFUNGA
[ إني صائم ، إني صائم ]
البخاري 4/103 ، ومسلم 2/ 806
[Hakika mimi nimefunga, hakika mimi nimefunga.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
ANACHOSEMA ALIYETUKANWA HALI YA KUWA AMEFUNGA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.