DUA YA ALIYEALIKWA CHAKULA LAKINI AKAWA AMEFUNGA
Amesema Mtume ﷺ:
إذا دُعي أحدكم فليجب ، فإن كان صائماً فليصل وإن كان مفطراً فليطعم "[1] ومعنى فليصل أي فليدع
مسلم 2/1054
[Akialikwa mmoja wenu aitike mwito, akiwa amefunga basi awaombee dua na kama hakufunga basi ale.] [Imepokewa na Muslim.]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.