DUA BAADA YA MVUA
[ مُطرنا بفضل الله ورحمته ]
البخاري 1/205 ،مسلم 1/83
[Tumenyeshelewa kwa fadhila za Mwenyezi Mungu na rehema zake.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
DUA BAADA YA MVUA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.