DUA YA KUTAKA MVUA IONDOKE (WAKATI ITAKAPOLETA MADHARA)
[اللهم حوالينا ولا علينا ، اللهم على الآكامِ والظرابِ وبُطون الأودية ، ومنابت الشجر]
البخاري 1/224 ،مسلم 2/614
[Ewe Mwenyezi Mungu, inyesheleze kwetu wala isiwe yenye kutuangamiza. Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwenye vichaka na milima na mabonde na kwenye mizizi ya miti.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
DUA YA KUTAKA MVUA IONDOKE (WAKATI ITAKAPOLETA MADHARA)
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.