KINGA YA MUISLAMU
[ اللهم صيباً نافعاً ]
البخاري مع الفتح 2/518
[Ewe Mwenyezi Mungu, ijaaliye yenye kumiminika yenye kunufaisha.] [Imepokewa na Bukhari.]
SIKILIZA DUA YA MVUA INAPONYESHA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.