KINGA YA MUISLAMU
[ بارك الله لك في الموهوب لك ،وشكرت الواهب، وبلغ أشدهُ، ورزقت برهُ ]
[Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake]
Na aliyepongzwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:
[ بارك الله لك وبارك عليك ، وجزاك الله خيراً ، ورزقك الله مثله، وأجزل ثوابك]
[Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake na afanye nyingi thawabu zako]
[Tazama Al-Adhkaar ya Imamu Al-Nnawawiy uk 349]
PONGEZI YA KUPATA MTOTO NA JAWABU YAKE
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.