KINGA YA MUISLAMU
Imepokelewa na Ibn Abbas amesema alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu akiwakinga wajukuu wake (Hassan na Hussein) akisema :
[ أعيذكما بكلمات الله التامة ، من كل شيطان وهامة ، ومن كل عينِ لامة ]
[Nawakinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia awakinge kutokana na kila shetani na uvamizi na kila jicho lenye kudhuru.] [Imepokewa na Bukhari.]
DUA INAYO KINGWA NAYO WATOTO
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.