Menu

KINGA YA MUISLAMU


 balaa


 

[لا إلَهَ إلاَّ اللَّهُ الْعَظـيمُ الْحَلِـيمْ، لا إلَهَ إلاَّ اللَّهُ   رَبُّ العَـرْشِ العَظِيـمِ، لا إلَهَ إلاَّ اللَّهُ  رَبُّ السَّمَـوّاتِ ورّبُّ الأَرْضِ ورَبُّ العَرْشِ الكَـريم]

البخاري 7/154ومسلم 4/ 2092

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu  aliye Mtukufu Mpole, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu  Mola wa Arshi  tukufu, hapana mola apasae kuabudiwa kwahaki ila ni  Mwenyezi Mungu  Mola wa mbingu na Mola wa ardhi na Mola wa arshi tukufu.]          [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

 

[.اللّهُـمَّ رَحْمَتَـكَ أَرْجـوفَلا تَكِلـني إِلى نَفْـسي طَـرْفَةَ عَـيْن، وَأَصْلِـحْ لي شَأْنـي كُلَّـه لَا إِلَهَ إِلَّا أنْـت ]

أبو داود 4/324 وأحمد 5/42 وحسنه الألباني في صحيح أبو داود 3/ 959

[Ewe Mwenyezi Mungu  rehema zako nataraji, usinitegemeze  kwenye nafsi yangu japo kwa muda wa upepesa jicho, naunitengenezee mambo yangu yote, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Wewe]       [Imepokewa na Abuu Daud na Ahmad.] 

 

[ لاَ إِلَهَ إِلَّا أنْـت سُـبْحانَكَ إِنِّي كُنْـتُ مِنَ الظّـالِميـن ]

الترمذي 5/529 والحاكم وصححه ووفقه الذهبي 1/505

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Wewe, kutakasika ni Kwako.  Hakika mimi ni miongoni mwa waliodhumu nafsi zao.]       [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Al-Haakim.]

 

[ الله الله ربي لا أشرك به شيئاً ]

أخرجه أبو داود 2/87

[Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu , Mola wangu simshirikishi na kitu chochote kile.]     [Imepokewa na Abuu Daud.]


DUA YA KUPATWA NA JANGA AU BALAA


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6668910
TodayToday47
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 18

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_686757b900b519493268951751603129
title_686757b900c338947305881751603129
title_686757b900d10215549421751603129

NISHATI ZA OFISI

title_686757b90228e4260110191751603129
title_686757b90236b3353527851751603129
title_686757b9024457207986391751603129 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com