Menu

KINGA YA MUISLAMU


 hamu


 

اللّهُـمَّ إِنِّي عَبْـدُكَ ابْنُ عَبْـدِكَ ابْنُ أَمَتِـكَ نَاصِيَتِي بِيَـدِكَ، مَاضٍ فِيَّ حُكْمُكَ، عَدْلٌ فِيَّ قَضَاؤكَ أَسْأَلُـكَ بِكُلِّ اسْمٍ هُوَ لَكَ سَمَّـيْتَ بِهِ نَفْسَكَ أِوْ أَنْزَلْتَـهُ فِي كِتَابِكَ، أَوْ عَلَّمْـتَهُ أَحَداً مِنْ خَلْقِـكَ أَوِ اسْتَـأْثَرْتَ بِهِ فِي عِلْمِ الغَيْـبِ عِنْـدَكَ أَنْ تَجْـعَلَ القُرْآنَ رَبِيـعَ قَلْبِـي، وَنورَ صَـدْرِي وجَلَاءَ حُـزْنِي وذَهَابَ هَمِّـي

 أحمد 1/391وصححه الألباني

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi ni mtumwa wako, mtoto wa mtumwa wako, mtoto wa kijakazi chako, utosi wangu uko mikononi mwako, yaliyopita kwangu yako katika hukumu yako, ni usawa kwangu kunihukumu kwako, nakuomba kwa kila jina ambalo ni Lako ulilojiita kwako mwenyewe au uliloliteremsha katika kitabu chako, au ulilomfundisha yoyote yule kati ya viumbe vyako, au ulilolihifadhi Wewe mwenyewe (na kujihusisha kulijuwa) katika ilimu iliofichika kwako, nakuomba ujaaliye  (uifanye) Qur’ani kuwa ni raha na uchanuzi wa roho yangu na nuru ya kifua changu, na utatuzi wa  huzuni yangu, nasababu ya kuondoka majonzi yangu.]       [Imepokewa na Ahmad na kusahihishwa na Al-Baaniy]

 

[اللّهُـمَّ إِنِّي أَعْوذُ بِكَ مِنَ الهَـمِّ وَ الْحُـزْنِ، والعًجْـزِ والكَسَلِ والبُخْـلِ والجُـبْنِ، وضَلْـعِ الـدَّيْنِ وغَلَبَـةِ الرِّجال]

 البخاري 7/158

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi najilinda kwako kutokana na wahka na huzuni na kutoweza uvivu na ubakhili na uoga na uzito wa deni na kushindwa na watu.]     [Imepokewa na Bukhari.]


SIKILIZA DUA UKIWA NA HAMU NA HUZUNI


   


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6669069
TodayToday206
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 18

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6867787c0c2a116096740201751611516
title_6867787c0c38b13605906481751611516
title_6867787c0c46d17246893271751611516

NISHATI ZA OFISI

title_6867787c0d9f616313147771751611516
title_6867787c0dadb5874727141751611516
title_6867787c0dbbb265975451751611516 Add content here

HUDUMA MPYA

: 3 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com