KINGA YA MUISLAMU
سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوس] ثلاث مرات]
[Ametakasika Mwenyezi Mungu Mfalme, Mtakatifu.] mara tatu
Na mara ya tatu anaisoma kwa sauti kubwa na kwa kuivuta.
[ ربِّ الملائكةِ والرّوح ]
رواه النسائي 3/244 والدار قطني وغيرهما
[Ewe Mola wa malaika na wa Jibriil.] [Imepokewa na Al-Nnasaai na Al-Ddarqutnyi]
DUA BAADA YA SALAMU KATIKA SWALA YA WITRI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.