Menu

KINGA YA MUISLAMU


 qunut


 

اللّهُـمَّ اهْـدِنـي فـيمَنْ هَـدَيْـت، وَعـافِنـي فـيمَنْ عافَـيْت، وَتَوَلَّـني فـيمَنْ تَوَلَّـيْت ، وَبارِكْ لـي فـيما أَعْطَـيْت، وَقِـني شَرَّ ما قَضَـيْت، فَإِنَّـكَ تَقْـضي وَلا يُقْـضى عَلَـيْك إِنَّـهُ لا يَـذِلُّ مَنْ والَـيْت، [ وَلا يَعِـزُّ مَن عـادَيْت ]، تَبـارَكْـتَ رَبَّـنا وَتَعـالَـيْت

أخرجه أصحاب السنن الأربعة وأحمد والدرامي والحاكم والبيهقي

[Ewe Mwenyezi Mungu  niongoze pamoja na uliowaongoza, na unipe afya njema pamoja na uliowapa afaya njema, na nifanye kuwa ni mpenzi wako pamoja na uliowafanya  wapenzi na nibariki katika ulichonipa na nikinge na shari ya ulilolihukumu kwani Wewe unahukumu wala huhukumiwi.  Hakika hadhaliliki uliemfanya mpenzi (wala hatukuki uliemfanya adui ) Umetakasika Ewe Mola wetu na Umetukuka.]       [Imepokewa Kwenye vitabu vya Hadithi vinne na Ahmad na Al-Ddaarimiy na Hakim na Al-Bayhaqiy]

 

[ اللّهُـمَّ إِنِّـي أَعـوذُ بِرِضـاكَ مِنْ  سَخَطِـك، وَبِمُعـافاتِـكَ مِنْ عُقوبَـتِك، وَأَعـوذُ بِكَ مِنْـك، لا أُحْصـي ثَنـاءً عَلَـيْك، أَنْـتَ كَمـا أَثْنَـيْتَ عَلـى نَفْسـِك ]

أخرجه أصحاب السنن الأربعة وأحمد

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi najilinda kwa radhi zako kutokana na hasira zako na kwa msamaha wako kutokana na adhabu yako, na najilinda  kwako kutokana na Wewe, mimi siwezi kuzidhibiti sifa zako, Wewe ni kama ulivyojisifu Mwenyewe.]       [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy na Al-Nnasaai na Ibnu Maajah na Ahmad.]

 

اللّهُـمَّ إِيّـاكَ نعْـبُدْ، وَلَـكَ نُصَلّـي وَنَسْـجُد، وَإِلَـيْكَ نَسْـعى وَنَحْـفِد، نَـرْجو رَحْمَـتَك، وَنَخْشـى عَـذابَك، إِنَّ عَـذابَكَ بالكـافرين ملْحَـق. اللّهُـمَّ إِنّا نَسْتَعـينُكَ وَنَسْتَـغْفِرُك، وَنُثْـنـي عَلَـيْك الخَـيْرَ، وَلا نَكْـفُرُك، وَنُـؤْمِنُ بِك، وَنَخْـضَعُ لَكَ وَنَخْـلَعُ مَنْ يَكْـفرُك

 أخرجه البيهقي في السنن الكبرى وصحح إسناده 

[Ewe Mwenyezi Mungu , Wewe tu ndie tunaekuabudu, na kwako tunasali na tunasujudu, na kwako tunakimbilia na tunakutumikia, tunataraji rehema yako na tunaogopa adhabu yako, kwani adhabu yako hakuna shaka kuwa makafiri itawifikia.  Ewe Mwenyezi Mungu  hakika sisi tunakutaka msaada na tunakutaka msamaha na tunakusifu kwa kheri na wala hatukukufurishi na tunakuamini Wewe, na tunakunyenyekea na tunamuepuka anaekukufuru.]      [Imepokewa na Al-Bayhaqiy katika Al-Ssunanul-Kubra na kasahihisha isnadi yake.]


SIKILIZA DUA YA QUNUT YA WITR


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6497235
TodayToday920
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 4

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_677858d3bd71313216318121735940307
title_677858d3bd85419532084341735940307
title_677858d3bd98e7246525871735940307

NISHATI ZA OFISI

title_677858d3bf9ce19802275041735940307
title_677858d3bfb0712124197401735940307
title_677858d3bfc315594705031735940307 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 6 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com