KINGA YA MUISLAMU
[ رب اغفر لي ، رب اغفر لي ]
أبو داود 1/ 231 وانظر صحيح ابن ماجة 1/ 148
[Mola nisamehe, Mola nisamehe] [Imepokewa na Abuu Daud]
[ اللهم اغفر لي ، وارحمني ، واهدني ، واجبرني، وعافني، وارزقني ، وارفعني]
أخرجه أصحاب السنن إلا النسائي وانظر صحيح الترمذي 1/90 وصحيح ابن ماجه 1/ 148
[Ewe Mwenyezi Mungu nisamehe, na unirehemu, na uniongoze, na uniungie, na unipe afya, na uniruzuku na uniinue.] [Imepoewa na Abuu Daud na Al-Tirmidhiy na Ibnu Maajah.]
SIKILIZA DUA ZA KIKAO KATI YA SIJDA MBILI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.