Menu

KINGA YA MUISLAMU


 السجود في الصلاة


سبحان ربي الأعلى ] ، ثلاث مرات ]    

أخرجه أهل السنن وأحمد وانظر صحيح الترمذي 1/83

[Ametakasika Mola wangu aliyejuu]   (Atasema hivi mara tatu)        [Imepokewa na Abuu Daud na Al-tirmidhiy na Al-Nasai na Ahmad.

 

 [ سبحانك اللهم ربنا وبحمدك ، اللهم اغفر لي ]    

البخاري ومسلم

[Kutakasika ni Kwako, Ewe Mwenyezi Mungu , Mola wetu, na sifa njema zote ni Zako, Ewe Mwenyezi Mungu  nisamehe.]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

 

[ سبوح قدوس رب الملائكة والروح ]      

مسلم 1/ 533

[Mwingi wa kutakaswa Mtakatifu, Mola wa malaika na Jibriil.]     [Imepokewa na Muslim]

 

[ اللهم لك سجدت وبك آمنت ولك أسلمت،سجد وجهي للذي خلقه وصوره وشق سمعه وبصره تبارك الله أحسن الخالقين ]    

   مسلم 1/ 534

[Ewe Mwenyezi Mungu  Kwako nimesujudu, na Wewe nimekuamini, na Kwako nimesilimu, umesujudu uso wangu kumsujudia  aliyeuumba na akautia sura na akaupasua usikizi wake na uwoni wake, Ametukuka Mwenyezi Mungu  Mbora wa waumbaji.]       [Imepokewa na Muslim]

 


[ سبحان ذي الجبروت والملكوت ، والكبرياء والعظمة]       

أبو داود 1/ 230 والنسائي وأحمد وإسناده وصححه الألباني في صحيح أبي داود 166

[Ametakasika Mwenye Utawala, na Ufalme, na Ukubwa, na Utukufu.]         [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Nasai na Ahmad na Kusahihishwa na Al-Baniy]


[ اللهم اغفر لي ذنبي كله ، دقه وجله ، وأوله وآخره ، وعلانيته وسره ]    

مسلم 1/ 350

[Ewe Mwenyezi Mungu nisamehe dhambi zangu zote, ndogo na kubwa, za mwanzo na za mwisho, za dhahiri na za siri.]       [Imepokelewa na Muslim.]

 


[ اللهم إني أعوذ برضاك من سخطك وبمعافاتك من عقوبتك،وأعوذ بك منك لا أحصي ثناء عليك أنت كما أثنيت على نفسك]

      مسلم 1/ 352

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi najilinda kwa radhi Zako kutokana na hasira zako, na kwa msamaha wako kutokana na adhabu yako, na najilinda Kwako unihifadhi na Wewe, mimi siwezi kuzidhibiti sifa Zako, Wewe ni kama ulivyojisifu Mwenyewe.]       [Imepokelewa na Muslim.]


SIKILIZA DUA YA WAKATI WA KUSUJUDU



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6490242
TodayToday135
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 8

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6771078e5c8ce3626758401735460750
title_6771078e5c9e63649168461735460750
title_6771078e5caf411796129001735460750

NISHATI ZA OFISI

title_6771078e5e3a615137136661735460750
title_6771078e5e49310489791221735460750
title_6771078e5e57320374967731735460750 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 12 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com