KINGA YA MUISLAMU
[ سمع الله لمن حمده]
البخاري مع الفتح 2/ 282
[Mwenyezi Mungu Amemsikia mwenye kumsifu.] [Imepokewa na Bukhari.]
[ ربنا ولك الحمد ، حمداً كثيراً طيباً مباركاً فيه ]
البخاري مع الفتح 2/ 282
[Ee Bwana wetu ni zako sifa njema sifa nyingi, nzuri, zenye baraka.] [Imepokewa na Bukhari.]
ملء السموات وملء الأرض وما بينهما ، وملء ما شئت من شئ بعد .أهل الثناء والمجد،أحق ما قال العبد، وكلنا لك عبد ، اللهم لا مانع لما أعطيت ولا معطي لما منعت ولا ينفع ذا الجد منك الجد مسلم 1/ 346
[Zimejaa mbingu na zimejaa ardhi na vilivyomo ndani yake sifa Zako, na zimejaa (sifa Zako) kwa ulichokitaka baada yake, Wewe ni mstahiki wa sifa na utukufu, ni kweli aliyoyasema mja Wako, na sote ni waja wako, Ee Allaah hapana anaeweza kukizuia ulichokitoa, na wala kutoa ulichokizuia, na wala haumnufaishi mwenye utajiri, kwani kwao Wewe ndio utajiri.] [Imepokewa na Muslim.]
SIKILIZA DUA YA KUINUKA KUTOKA KWENYE RUKUU
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.