Menu

KINGA YA MUISLAMU


صورة 3


سبحان ربي العظيم ]   ثلاث مرات ]    

أخرجه أهل السنن وأحمد وانظر صحيح الترمذي 1/83

[Ametakasika Mola wangu aliye Mtukufu.] (Utasema mara tatu)  [Imepokewa na Abuu Daud na al-Tirmdhi na Ibnu Maajah na Ahmad ]

 

[ سبحانك اللهم ربنا وبحمدك ، اللهم اغفر لي ]       

البخاري 1/199 ومسلم 1/ 350

[Kutakasika ni Kwako, Ewe Mwenyezi Mungu  mola wetu na sifa njema zote ni Zako ewe Mwenyezi Mungu , nisamehe.]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

 

[ سبوح قدوس رب الملائكة والروح ]     

مسلم 1/ 353 وأبو داود 1/230        

[Mwingi wa kutakaswa, Mtakatifu, mola wa malaika na Jibiriil.]       [Imepokewa na Muslim na Ibnu Majah.]

 

[ اللهم لك ركعت وبك آمنت ،ولك أسلمت خشع لك سمعي وبصري ودمي ولحمي وعظمي وعصبي،وما استقل به قدمي]  

مسلم 1/534 والأربعة إلا ابن ماجه

[Ewe Mwenyezi Mungu Kwako nimerukuu, na Wewe nimekuamini, na Kwako nimejisalimisha, umenyenyekea  Kwako usikizi wangu, na uwoni wangu, na ubongo wangu, na mfupa wangu, na hisia zangu, na ambacho kimesimama juu ya miguu yangu.]    [Imepokewa na Muslim na Abuu Daud na Al-Tirmidhiy na Al-Nasai.]

 

[ سبحان ذي الجبروت والملكوت والكبرياء والعظمة ]

 أبو داود 1/ 230 والنسائي وأحمد وإسناده حسن    

[Ametakasika Mwenye Utawala, na Ufalme, na Ukubwa, na Utukufu.]      [Imepokewa na Abuu Daud na  Al-Nasai na Ahmad na Isnadi yake ni Mzuri.] 


SIKILIZA DUA ZA WAKATI WA KURUKUU



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6669046
TodayToday183
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 31

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_686774e080abd14791831221751610592
title_686774e080ba810313685471751610592
title_686774e080c8920998439151751610592

NISHATI ZA OFISI

title_686774e0822496786258031751610592
title_686774e08231f5664734651751610592
title_686774e0823f6213873201751610592 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com