KINGA YA MUISLAMU
[ أعوذ بالله العظيم ،وبوجهه الكريم ،وسلطانه القديم ،من الشيطان الرجيم ]
أبو داود وانظر صحيح الجامع برقم 4591
[Najilinda na Mwenyezi Mungu Aliye Mtukufu, na kwa uso wake, mtakatifu, na kwa utawala Wake wa kale, kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma za Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na Abuu Daud]
[ بسم الله ، والصلاة والسلام على رسول الله ، اللهم افتح لي أبواب رحمتك ]
رواه أبوداود وإبن السني
[Kwa ina la Mwenyezi Mungu, na rehma Na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu nifungulie milango ya rehma zako.] [Imepokewa na Abuu Daud na Ibnu Sunniy]
SIKILIZA DUA YA KUINGIA MSIKITINI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.