KINGA YA MUISLAMU
[ بسم الله والصلاة والسلام على رسول الله ،اللهم إني أسألك من فضلك، اللهم اعصمني من الشيطان الرجيم ]
أخرجه إبن ماجة
[Kwa Jina la Mwenyezi Mungu na rehema na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba katika fadhila Zako, Ewe Mwenyezi Mungu najilinda kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma Zako (aliyelaaniwa ). ] [Imepokewa na Ibnu Maajah.]
SIKILIZA DUA YA KUTOKA MSIKITINI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.