KINGA YA MUISLAMU
[ إلبِسْ جَدِيداً وعِشْ حميداً ومُتْ شهيداً ]
ابن ماجه 2/ 1178 والبغوي 12/ 41 وانظر صحيح ابن ماجة2/ 275
[Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi.]
[Imepokewa na Abuu Daudna Al-Baghawiy]
[تُبْلي ويَخْلِفُ الله تعالى ]
أخرجه أبو داود 4/ 41 ، وانظر صحيح أبي داود2/ 760
[Itakwisha (kwa kuzeeka na kupasuka) na Mwenyezi Mungu atakupa nyingine.] [Imepokewa na Abuu Daud]
DUA UNAYO MUOMBEA ALIYEVAA NGUO MPYA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.