Menu

KINGA YA MUISLAMU


 NGUO MPYA


 

[اللَّهُمَّ لَكَ الحَمْدُ أَنْتَ كَسَوتَنِيه،أسْألك مِنْ خَيرِهِ وخَيْرَ ما صُنع لَهُ،وأعُوذُ بِكَ مِنْ شرِّه وشَرَّ ما صُنِعَ لَهُ]

47 أبو داود والترمذي والبغوي وانظر مختصر شمائل الترمذي للألباني ص

 

[Ewe Mwenyezi Mungu , sifa njema ni zako, wewe ndie ulienivisha, nakuomba kheri ya nguo hii, na kheri ya kila ambacho nguo hii imetengenezewa, na najilinda Kwako kutokana na shari yake, na shari ambayo nguo hii imetengenezewa]       [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy]


SIKILIZA DUA YA KUVAA NGUO MPIYA


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6492959
TodayToday479
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 3

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6774ab502ac7710765933201735699280
title_6774ab502ad5f5063070641735699280
title_6774ab502ae496478758571735699280

NISHATI ZA OFISI

title_6774ab502c3e66934848981735699280
title_6774ab502c4cb1066760501735699280
title_6774ab502c5b96367837841735699280 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 1 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com