KINGA YA MUISLAMU
[الحَمْدُ لله الذِي كَساني هذا( الثوب ) ورَزَقَنِيه مِنْ غَيْرِ حَوْلٍ مِنّي ولا قُوةٍ]
أخرجه أهل السنن إلا النسائي انظر إرواء الغليل 7/ 47
[Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambae amenivisha nguo hii, na kuniruzuku pasina uwezo kutoka kwangu wala nguvu]
[Imepokewa kwenye vitabu vya Sunna isipokuwa Al-Nasai tazama kitabu Irwaa'i Al-Ghalil cha Sheikh Al-baniy]
SIKILIZA DUA YA KUVAA NGUO
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.