BUSTANI YA WATU WEMA
{قال تعالى : {َافْعَلُوا الْخَيْرَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na tendeni mema, ili mfanikiwe] [Suratul Hajj: 77]
شرح مقدمة الباب وأحدايث الباب كاملة مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 953 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.