Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أبي هريرة رضي الله عنه قال : أُتِيَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِرجلٍ قَدْ شرِب خَمْراً قال : « اضْربُوهُ» قال أَبُو هُرَيْرةَ : فمِنَّا الضَّارِبُ بِيدهِ والضَارِبُ بِنَعْله ، والضَّارِبُ بِثوبِهِ . فَلَمَّا انْصَرَفَ قَال بعْضُ الْقَومِ : أَخْزاكَ اللَّه ، قال : « لا تقُولُوا هَكَذا لا تُعِينُوا عليه الشَّيْطان »    رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema Aliletwa kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Mtu ambae alikua amekunywa Pombe Mtume  ﷺ akasema: [Mpigeni] anasema Abu Hureira: Basi ikawa miongoni mwetu wapo wanaopiga kwa Mikono yao, na wanaopiga kwa Viatu vyao , na wanaopiga kwa Nguo zao. Alipoondoka yule mtu wakasema baadhi ya watu: Mwenyezi Mungu akudhalilishe, Mtume  ﷺ akawambia:  [Musiseme hivyo, musimsaidie Sheitani juu yake]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 112

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e19c1c43c12864452741791549852
title_6ac8e19c1c49e12437294601791549852
title_6ac8e19c1c4fb10625098761791549852

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e19c3231c1171243551791549852
title_6ac8e19c3237a20368669521791549852
title_6ac8e19c323d55580599871791549852 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com