Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن ابن عمرَ رضي اللَّهُ عنهما أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «المسلمُ أَخــو المسلم لا  يَظلِمُه ولا يُسْلِمُهُ . ومَنْ كَانَ فِي حاجةِ أَخِيهِ كانَ اللَّهُ فِي حاجتِهِ، ومنْ فَرَّجَ عنْ مُسلمٍ كُرْبةً فَرَّجَ اللَّهُ عنه بها كُرْبةً من كُرَبِ يومَ القيامةِ ، ومن سَتَرَ مُسْلماً سَتَرَهُ اللَّهُ يَومَ الْقِيامَةِ » متفق عليه


Kutoka kwa Ibnu Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Amesema: [Muislamu ni ndugu yake Muislamu hamdhulumu wala hamsalimishi kwa Adui. Na mwenye (kumkidhia) Haja ndugu yake Mwenyezi Mungu atakuwa katika (kumkidhia) Haja yake, na mwenye kumfariji Muislamu kwa kumuondoshea  shida Mwenyezi Mungu atamfariji na shida miongoni mwashida za siku ya Qiyama, na mwenye kumsitiri Muislamu Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya Qiyaam]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 112

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e19d01dfd6217554161791549853
title_6ac8e19d01e5914002697591791549853
title_6ac8e19d01ea811149938391791549853

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e19d0260612719932161791549853
title_6ac8e19d026544208363831791549853
title_6ac8e19d026a019207636851791549853 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com