BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي موسى رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «الْمُؤْمنُ للْمُؤْمِن كَالْبُنْيَانِ يَشدُّ بعْضُهُ بَعْضاً »
وَشَبَّكَ بَيْنَ أَصَابِعِه . متفق عليه
Kutoka kwa Abuu Musa (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Muumini kwa Muumini mwenzie ni kama jengo, baadhi yake hutilia nguvu baadhi nyingine]. Na akaviunganisha vidole vyake. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1058 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.