BUSTANI YA WATU WEMA
وعن خَوْلَةَ بِنْتِ عامِرٍ الأَنْصَارِيَّةِ ، وَهِيَ امْرَأَةُ حمْزَةَ رضي اللَّهُ عنه وعنها ، قالت : سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « إِنَّ رِجَالاً يَتَخَوَّضُونَ فِي مالِ اللَّهِ بِغَيْرِ حَـقٍّ فَلهُمُ النَّارُ يَوْمَ الْقِيَامةِ » رواه البخاري
Kutoka kwa Khawlah bint ‘Aamir Al-Answaariyyah (Radhi za Allah ziwe juu yake), naye ni mke wa Hamza bin ‘Abdul-Mutw-Twalib (Radhi za Allah ziwe juu yao) kuwa amemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: Akisema: [Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu (mali ya Ummah) bila ya haki, wana Moto Siku ya Qiyama.] [Imepokewa na Bukhaariy]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 913 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.