Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أُمِّ سَلَمةَ رضي اللَّه عنها ، أَن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّمَا أَنَا بشَرٌ ، وَإِنَّكُمْ تَخْتَصِمُونَ إِلَيَّ ، وَلَعَلَّ بَعْضَكُمْ أَنْ يَكُونَ أَلْحنَ بحُجَّتِهِ مِنْ بَعْض ، فأَقْضِي لَهُ بِنحْو ما أَسْمَعُ فَمَنْ قَضَيْتُ لَهُ بحَقِّ أَخِيهِ فَإِنَّمَا أَقْطَعُ لَهُ قِطْعَةً مِنَ النَّارِ »   متفق عليه .

«أَلْحَنَ » أَيْ : «أَعْلَم


Kutoka kwa Ummu Salamah Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hakika mimi ni mwanadamu, nanyi mnaniletea mashtaka yenu kwangu. Na huenda baadhi yenu mkawa mahodari kutoa hoja yake kuliko baadhi ya wengine. Nami nikamuhukumia kwa niliyoyasikia. Basi yoyote nitakempatia haki ya ndugu yake, hakika nitakuwa nimemkatia kipande cha Moto.]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 119

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a61a16b10231889061791549862
title_6ac8e1a61a1bb16852773201791549862
title_6ac8e1a61a20612416619751791549862

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a61a8a64843963781791549862
title_6ac8e1a61a8f59987625701791549862
title_6ac8e1a61a94112978022931791549862 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com