BUSTANI YA WATU WEMA
وعن ابنِ عمرَ رضي اللَّه عنهما قال قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لَنْ يَزَالَ الْمُؤمِنُ فِي فُسْحَةٍ مِنْ دِينِهِ مَالَمْ يُصِبْ دَماً حَراماً » رواه البخاري
Kutoka kwa I bn ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Muumini anabaki kua katika upeo wa dini yake madamu hajamwaga damu iliyoharamishwa.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1027 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.