BUSTANI YA WATU WEMA
عنْ أَبِي سَعيد الْخُدريِّ رضي اللَّه عنه عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «أَفْضَلُ الْجِهَادِ كَلِمَةُ عَدْلٍ عندَ سلْطَانٍ جائِرٍ » رواه أبو داود ، والترمذي وقال: حديثٌ حسنٌ
Kutoka kwa Abu Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Jihadi iliyo bora kabisa ni kusema neno la uadilifu mbele ya Mtawala jeuri.] [Imepokewa na Abu Dawuud na At-Tarmidhiy na amesema Hadithi hii ni Hasan]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1197 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.