Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أَبِي عبدِ اللَّه طارِقِ بنِ شِهابٍ الْبُجَلِيِّ الأَحْمَسِيِّ رضي اللَّه عنه أَنَّ رجلاً سأَلَ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، وقَدْ وَضعَ رِجْلَهُ في الغَرْزِ : أَيُّ الْجِهادِ أَفْضَلُ؟ قَالَ : «كَلِمَةُ حقٍّ عِنْدَ سُلْطَانٍ جائِر »      رَوَاهُ النسائيُّ بإسنادٍ صحيحٍ


Kutoka kwa Abu ‘Abdillaah Twaariq bin Shihaab Al-Bajaliy Al-Ahmasiy Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba, mtu mmoja alimuuliza Mtume ﷺ ambaye alikuwa tayari ameweka mguu kwenye kipandio (sehemu ya kuweka mguu wakati ukitaka kupanda Ngamia) akasema: Ni Jihadi gani iliyobora kabisa? (Mtume ﷺ)  Akasema: [Kusema neno la uadilifu mbele ya Mtawala jeuri.]      [Imepokewa na An-Nasaai]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 120

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a4653352895049831791549860
title_6ac8e1a46538518152891421791549860
title_6ac8e1a4653d314109871921791549860

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a4659a614289537681791549860
title_6ac8e1a4659f412104261301791549860
title_6ac8e1a465a405474362481791549860 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com