BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ حذيفةَ رضي اللَّه عنه أَنَّ النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « والَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ لَتَأْمُرُنَّ بالْمعرُوفِ ، ولَتَنْهَوُنَّ عَنِ المُنْكَرِ ، أَوْ لَيُوشِكَنَّ اللَّه أَنْ يَبْعثَ عَلَيْكمْ عِقَاباً مِنْهُ ، ثُمَّ تَدْعُونَهُ فَلاَ يُسْتَجابُ لَكُمْ » رواه الترمذي وقال : حديثٌ حسنٌ
Kutoka kwa Hudhayfah Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba: Mtume ﷺ amesema: [Naapa kwa yule ambaye nafsi yangu ipo mikononi Mwake, mtaendelea kuamrisha mema na kukataza maovu au kama si hivyo basi Mwenyezi Mungu Atawateremshia adhabu kutoka kwake, kisha mtamuomba na yeye asiwaitikie (du’aa zenu).] [Imepokewa na At-Tirmidhiy]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1209 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.