Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين 


عن جابرٍ رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «مثَلِي ومثَلُكُمْ كَمَثَل رجُلٍ أَوْقَدَ نَاراً فَجَعَلَ الْجَنَادِبُ وَالْفَراشُ يَقَعْنَ فيهَا وهُوَ يذُبُّهُنَّ عَنهَا وأَنَا آخذٌ بحُجَزِكُمْ عَنِ النارِ ، وأَنْتُمْ تَفَلَّتُونَ منْ يَدِي »    رواه مسلمٌ


Kutoka kwa Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema Mtume ﷺ Amesema: [Mfano wangu na mfano wenu ni kama mtu aliyewasha moto, panzi na vipepeo wakawa wanaingia humo (na huyo mtu) akawa anazuia wasiingie. Nami nimewashika viuno vyenu (sehemu ya kuifungia mkanda) kuwaokoa na moto, lakini mnaniponyoka mkononi mwangu  ]    [Imepokewana Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668232
TodayToday920
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 10

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c764d455310267011401751566180
title_6866c764d46446349341191751566180
title_6866c764d472d8948717831751566180

NISHATI ZA OFISI

title_6866c764d5d217569551671751566180
title_6866c764d5e0612027847291751566180
title_6866c764d5ee49933630701751566180 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com