Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين 


عن أَبِي موسى رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِنَّ مَثَل مَا بعَثني اللَّه بِهِ منَ الْهُدَى والْعلْمِ كَمَثَلَ غَيْثٍ أَصَاب أَرْضاً فكَانَتْ طَائِفَةٌ طَيبَةٌ ، قبِلَتِ الْمَاءَ فأَنْبَتتِ الْكلأَ والْعُشْبَ الْكَثِيرَ ، وَكَانَ مِنْهَا أَجَادِبُ أَمسكَتِ الماءَ ، فَنَفَعَ اللَّه بها النَّاس فَشَربُوا مِنْهَا وسَقَوْا وَزَرَعَوا. وأَصَابَ طَائِفَةً أُخْرَى ، إِنَّمَا هِيَ قِيعانٌ لا تُمْسِكُ ماءً وَلا تُنْبِتُ كَلأ فَذَلِكَ مَثَلُ مَنْ فَقُهَ فِي دِينَ اللَّه ، وَنَفَعَه ما بعَثَنِي اللَّه به ، فَعَلِمَ وعَلَّمَ، وَمثلُ مَنْ لَمْ يَرْفَعْ بِذلِكَ رَأْساً وِلَمْ يَقْبَلْ هُدَى اللَّهِ الذي أُرْسِلْتُ بِهِ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Musaa Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: Amesema: Mtume[Mfano wa Aliyonituma kwayo Mwenyezi Mungu katika uongofu na elimu, ni mfano wa mvua nyingi iliyonyesha katika nchi, ikawa ina rutuba, ikakubali maji, ikaotesha nyasi na maji mengi. Na sehemu nyingine ikawa ni kavu na ngumu inayozuia maji, Mwenyezi mungu Akawanufaisha watu kwa mvua hiyo. Wakanywa, wakanywesha mifugo na kulimia kwayo. Na ikanyesha sehemu nyingine ambayo ni kavu haizuii maji, wala haioteshi nyasi. Basi mifano hiyo ni mfano wa mtu aliyekuwa na ufahamu mzuri katika Dini ya Mwenyezi Mungu, yakamnufaisha yale Aliyonituma kwayo Allaah, akajifunza na akafundisha. Na mfano wa mwisho ni mfano wa mtu ambaye, hakuinua kichwa kwa jambo hilo na wala hakuukubali uongofu wa Mwenyezi Mungu niliyotumwa nao. ]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8031804
TodayToday887
Highest 07-31-2026 : 9991
US
Guests 90

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6a8d8c464714615068909861787661382
title_6a8d8c46471b15935430041787661382
title_6a8d8c46472174924532011787661382

NISHATI ZA OFISI

title_6a8d8c464798e9325893711787661382
title_6a8d8c46479db12496746571787661382
title_6a8d8c4647a266617255751787661382 Add content here

HUDUMA MPYA

: 13 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com